Adam Mchomvu a.k.a baba jonii Radio presenter clouds fm mwenye crown ya
best presenter, anatarajia kutoa mixtape yenye ngoma kumi na nane LEO
alioshirikiana na wasanii mbali mbali kama Jose Mtambo, Banana Zorro,
Illimatix, Cliff mitindo, G.nako, Nikk war 2, Babuu war kitaa, TID, na
wasanii wengine wengi kama zawadi kwa mashabiki wake ibaki kama
kumbukumbu kwa kile anachokifanya hewani (on air) ... mixtape itaingia
kitaani soon baada kupreview ngoma hizo ndani ya double XL (XXL) kuanzia
saa tisa alasiri kwa hot 3 @ 3 ..... big up baba la baba!
No comments:
Post a Comment